Penzi la kweli lina historia hakikisha
MUNGU ni mwema sana mpenzi msomaji. Ametukutanisha tena Jumamosi nyingine ili tuweze kupata elimu mpya ya masuala ya uhusiano.
Hakuna sababu ya kuwa mbishi. Ukiruhusu moyo wako kujifunza, utajifunza na kuweza kubadilika katika maeneo…
