Kane atakiwa kusepa Spurs
MSHAMB-ULIAJI wa Tottenham Hotspur, Harry Kane ametakiwa kuihama timu hiyo na kutafuta timu nyingine kama anataka kushinda mataji makubwa katika maisha yake ya soka.
Msimu uliopita, Kane ilibaki kidogo abebe ubingwa wa Ligi ya…
