Milioni 800 za Mo Zaanza na Straika Mghana, Amefichwa Hoteli Kubwa
IMEELEZWA kuwa Sh 800Mil alizoweka Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ kwa ajili ya usajili, zimeanza na mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Kwame Peprah, raia wa Ghana.
Simba imekuwa kwenye…
