Rais Real MadridAkutwa na Corona
RAIS wa miamba ya soka, Real Madrid, ya nchini Hispania, Fiorentino Perez, jana mchana Februari 2, 2021, amekutwa na maambukizi ya Covid-19 na kuchukua tahadhari ya kujiweka karantini ili maambukizi hayo yasienee kwa watu wengine…
