Baada ya Kumwacha Pasqualino, Perrie Amdaka Chamberlain wa Arsenal
Perrie katika pozi.
MWIMBAJI wa kundi la Little Mix, mrembo Perrie Edwards, anamwinda mcheza soka wa timu ya England na Arsenal, Alex Oxlade-Chamberlain.
Alex kwenye mechi
Mdada huyo mwenye umri wa miaka 23 alikuwepo katika mtanange…
