Hizi ni Filamu Zilizoingiza Mkwanja Mrefu Zaidi Duniani Mwaka Huu
Washapiga hela! Huku mwezi wa sita ukiwa unaelekea mwishoni, tayari makampuni mengi yanayoandaa filamu nchini Marekani yameendelea kujikusanyia pesa za maana kutokana na kuuza muvi zao ambazo nyingi zimeonekana kupendwa mno.
Leo hii! Mtu…
