Buchosa: Shigongo Awatahadharisha Watakaotafuna Fedha za Uviko 19
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amewatahadharisha watendaji wa Serikali kutothubutu kula fedha za Uviko 19 zinazojenga vyumba vya madarasa jimboni humo.
Kauli hiyo ameitoa jana Novemba 17, mwaka huu katika…
