ARIANA GRANDE AWEKA REKODI YOUTUBE KWA WIMBO, VIDEO YAKE
Staa wa muziki aina ya Pop, Ariana Grande amevunja rekodi ya masaa 24 kwenye mtandao wa Youtube na Vevo kwa video yake ya ‘Thank You Next’.
Video ya Thank You Next ilitoka siku ya Ijumaa wiki iliyopita tarehe 30 na mpaka…
