Kadinali aliyelawiti watoto ahukumiwa kwenda Jela
JJI Mkuu wa mahakama moja nchini Australia, Peter Kidd, amemhukumu kifungo cha miaka sita gerezani Kardinali George Pell baada ya kukutwa na hatia ya kuwalawiti wavulana wawili.
Shirika la habari la ABNA…
