MUNA: Peter Muongo, Nyumba ni Yangu, Hajaninunulia Gari – Video
MUIGIZAJI kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, rose Alphonce 'Muna Love' katika mkutano aliofanya leo na waandishi wa habari ameweka wazi kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa nyumba anayoishi mumewe, Peter Zacharia Komu, Mwananyamala jijini Dar…
