Niler Bernard Modo Mbongo Anayetusua Kimataifa
WATU wengi wanafahamu kuhusu Wanamitindo Millen Magese na Flaviana Matata ambao baada ya kufanya vizuri katika sanaa ya urembo nchini, sasa ni mabalozi wazuri katika anga la kimataifa.
Kwa sasa, Flaviana Matata aliyewahi kuwa Miss…
