Ishu ya PF3, Serikali Yatoa Maelekezo Haya
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Abel Makubi amesema ishu ya Fomu ya polisi ya kuthibitisha Matibabu (PF3) isiwe kipingamizi cha mwananchi aliyepata ajali kushindwa kupata huduma ya dharura…
