Man Utd kutema Wanne Dirisha Dogo
MANCHESTER United ipo kwenye mchakato wa kuachana na wachezaji wanne katika dirisha dogo la Januari, mwakani ili kubalansi kwenye masuala ya mapato.
Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa wachezaji ambao wako…
