Man City Yatangaza Usajili wa Kalvin Phillips kwa Mkataba wa Miaka sita
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City imetangaza kukamilisha dili la kumsaini kiungo mkabaji wa klabu ya Leeds United raia wa Uingereza Kalvin Phillips kwa mkataba wa miaka 6 ambao unatarajiwa kumalizika majira ya…
