Watu Wawili Wakamatwa Wakidaiwa Kuhusika na Tukio la Ufyatuaji Risasi Nchini Afrika Kusini
Polisi nchini Afrika Kusini wamesema kwamba wamewakamata watu wawili wanaohusishwa na moja ya mashambulizi mawili kwenye bar ambayo yalisababisha vifo vya watu 19, tukio hilo liliibua hisia tofauti miongoni mwa wakazi wa maeneo Jirani…
