Pinkieto: Dairekta Aliniomba Penzi, Nikampa…
Gisela Joseph ‘Pinkieto’
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo ya filamu, jina la Gisela Joseph ‘Pinkieto’ litakuwa si geni kwako. Huyu alikuwa ni sekretari wa marehemu Steven Kanumba lakini pia msanii aliyeigiza kwenye filamu mbalimbali.…
