Stewart awakimbiza Kerr, Pluijm mikoani
Kocha wa Azam FC, Stewart Hall.
Martha Mboma,Dar es Salaam
KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall, ameonekana kuwa moto zaidi kwenye mechi za mikoani na kuwafunika Wazungu wenzake, Dylan Kerr wa Simba na Hans van Der Pluijm wa Yanga.
Azam…
