Taarifa: Poda za Johnson’s Bay Usitumie, Wala Mtoto Wako
PODA maarufu ya watoto ambayo pia hutumiwa na baadhi ya watu wazima aina ya Baby Johnson kuanzia loti 22318RB haitakiwi kutumika.
Imeelezwa kuwa iwapo unayo, basi acha kabisa kuitumia mara moja kwani si salama, hii ni kwa…
