Leopard Poemz Kutua kwa Rayvanny
MAMBO yamekuwa mambo kwa msanii mwingine mkali kunako Bongo Fleva, Leopard Luhanga almaarufu Poemz; staa anayetrendi kwa sasa kutokana na mambo anayoyafanya kwenye gemu ambapo anahusishwa kutua kwenye lebo mpya ya Next Level Music (NLM)…
