Szczesny: Nilimbetia Messi Euro Milioni 100 Kuwa Hapewi Penati, Siwezi Kumlipa
GOLIKIPA wa Timu ya Taifa ya Poland na klabu ya Juventus ya nchini Italia Wojciech Szczesny ameibuka na kusema kuwa alicheza kamari na mshambuliaji wa Argentina na klabu ya PSG Lionel Messi kuwa timu yake ya taifa isingeweza kupewa…
