VINARA WIZI WA MAGARI, WATUHUMIWA 10 WA UJAMBAZI, WAKAMATWA DAR
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa 10 kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha pamoja na vinara wizi wa magari.
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa…
