Polisi Mbeya Wataja Chanzo Vifo Vya Watu Wawili Ruaha -Video
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Urlich Matei amesema uchunguzi wa kidaktari wa miili ya watu wawili pamoja na kichwa cha binadamu vilivyokutwa ndani ya hifadhi ya ruaha, umebaini kuwa chanzo cha vifo hivyo ni watu hao kushambuliwa na…
