Polisi wafumua kituo cha ‘unga’ Dar
Polisi wakiwadhibiti vijana kwa utumiaji wa madawa ya kulevya.
Stori: Makongoro Oging’, UWAZI
DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, jijini Dar limekifumua kituo cha watumiaji wa madawa ya kulevya ‘unga’ na kuwakamata…
