The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Pombe

Pombe Zahatarisha Uhai wa Maradona

MCHEZAJI  mkongwe wa Argertina, Diego Maradona, ametolewa hospitali siku ya Jumatano, na kuelekea kliniki ya kurekebisha tabia ili kuacha kutegemea pombe, Maradona, aliliongoza taifa lake katika mashindano ya Kombe la Dunia ya mwaka…

Madhara ya pombe kwenye ubongo

KUPOTEZA fahamu kutokana na unywaji wa pombe kupita kiasi ni hali ambayo watu wengi wameshawahi kuishuhudia japo mara moja maishani. Kupoteza fahamu kutokana na unywaji wa pombe ni nini? Hii ni hali ya ubongo kushindwa kunakili…

Pesa na Pombe kwako Sio Mapacha?

KWA wale waliowahi au wanaokunywa pombe hata sasa, ukweli unaosemwa na watu ni kwamba, kuna uhusiano mkubwa sana kati ya pombe na pesa. Wengi wanasema kuwa, walipokuwa wakinywa pombe, pesa pia zilikuwa zikiingia kirahisi mifukoni mwao,…