Mahakama Kuu Yamwachia Huru Sheikh Ponda
MAHAKAMA Kuu imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda katika rufaa iliyokatwa na Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama ya Morogoro iliyokuwa imemuachia huru katika kesi ya kutoa maneno ya uchochezi.…
