Mchezaji Bora wa Pool Tanzania Kuliwakilisha Taifa Nchini Uganda
MCHEZAJI wa Pooltable anayeshikilia kiwango cha namba moja Tanzania, Abdallah Hussein(Dullah) leo mapema ameondoka kuelekea Uganda kwenye Mashindano ya wazi "PAU Pool Grand Open" yaliyoandaliwa na Chama cha Pool nchini Uganda(PAU).…
