Ukimposti Mwanamke Milioni 50
UKICHEZA na mwanamke kwa sheria za sasa utaozea jela au kupigwa faini ya mamilioni ya fedha.
Kama unabisha sema: “suuu” uone.
Mwanasheria wa Jukwaa la Watoto (CDF), Amina Alliy alipozungumza na UWAZI hivi karibuni alisema:…
