Amber Lulu Arudisha Majeshi kwa Prezzo
PENZI ni kikohozi hivyo kulificha huwezi! Ni msemo wa Wahenga lakini sasa unafanya kazi kwani sio siri tena kwamba, msanii wa Bongo Fleva, Amber Lulu amerejesha majeshi rasmi kwa aliyekuwa mwandani wake, Rapa Prezzo wa nchini Kenya.…
