Profesa Jay na Sababu za Kuacha Muziki
WANAMUZIKI ambaye pia ni Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay, amefunguka kuwa hataacha muziki kamwe, kwani kufanya hivyo ni sawa na kuwasaliti wananchi wake ambao wamemfahamu na kumpeleka mjengoni kupitia muziki wake…
