Breaking: Mume wa Malkia Elizabeth, Prince Philip Afariki Dunia
Kasri ya Buckingham imesema mume wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Prince Philip amefariki dunia leo Ijumaa, Aprili 9, 2021, akiwa na umri wa miaka 99 katika Kasiri la Windsor. Takribani miezi miwili iliyopita, Februari 16 aliugua na…
