MMILIKI MABASI YA PRINCESS MURO AFIKISHWA MAHAKAMANI
MFANYABIASHARA na mmiliki wa mabasi ya Princess Muro, Majid Abdallah maarufu kama Kimaro (51) leo Oktoba 23.2018 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la wizi na utakatishaji wa mafuta.…
