Tawi la Chuo Kikuu cha Misri Kuanzishwa Tanzania- Waziri Mkenda
CHUO KIKUU cha Misri kimebainisha kusudio la kuanzisha tawi lake nchini Tanzania kwa ajili ya kuanza kutoa elimu katika fani mbalimbali.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameeleza hayo Agosti 16,…
