Babu Tale, Salome Makamba Wazungumzia Hali ya Prof. Jay
Mbunge wa Morogoro Vijijini, Hamisi Shaban Taletale ambao wapo katika Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii (CCM) na Salome Makamba (Viti maalum CHADEMA) wamezungumzia hali ya kiafya ya mbunge wa zamani…
