Prof. Luoga Afunguka Baada ya Kuteuliwa Kuwa Gavana Benki Kuu
Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga amesema amepokea kwa heshima kubwa dhamana aliyopewa na Rais John Magufuli na anatambua changamoto za nafasi hiyo.
Profesa Luoga ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo…
