Prof. Mkumbo Ataka Maafisa Elimu Kata Wang’olewe Kufidia Pengo la Walimu
MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameishauri Serikali ifute kada ya maafisa elimu kata, ili kuziba changamoto ya upungufu wa walimu shuleni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam
Mbunge huyo wa Ubungo,…
