Aliyekuwa Daktari wa Mwinyi, Profesa Mtulia Afariki Dunia
DAR ES SALAAM: Habari zilizotufikia kutoka Hospitali ya Tumaini zinasema kwamba Profesa Idris Ali Mtulia amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini.
Afisa mmoja wa Hospitali ya Tumaini iliyopo jijini Dar es Salaam…
