Professor Jay, Victoria Kimani Wameungana Kuileta ‘Woman’ Video Mpya
Mbuge wa Mikumi, 'Joseph Haule' maarufu kama Professor Jay ameungana na msanii maarufu toka Kenya Victoria Kimani kwenye wimbo wao mpya kwaajili ya wanawake, 'Woman'.
Kupitia akaunti yake ya instagram ameandika…
