Dili la Kuuza Sura kwa Tsh Mil 460, Uko Tayari?
Kampuni ya kutengeneza roboti ya nchini Urusi inatafuta sura ya binadamu atakayekubali kulipwa ili kuitumia kwenye bidhaa yake mpya 'Promobot'.
Kampuni hiyo ya Ulaya, imesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kwamba iko…
