Kanye, Kim, Wadaiwa Kufoji Cheti cha Kuzaliwa
WAKATI wakisherehekea kutimiza miaka mitano tangu wafunge ndoa na kubahatika kupata watoto wanne, utata umeibuka kwa mtoto wao aliyezaliwa hivi karibuni ambapo inadaiwa mwanamitindo Kim na mumewe ambaye ni rapa, Kanye West wamefoji cheti…
