PICHAZ: Shughuli ya Uokoaji kwa Waliofukiwa na Kifusi Pugu Inaendelea
SHUGHULI ya kuokoa miili ya watu wawili waliofukiwa na kifusi katika Machimbo ya kokoto ya Golani yaliyopo nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam bado inaendelea ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema pamoja na Kamanda ya…
