Pulisic Achukia Kuwekewa Kigingi Dili Lake la Kutoka Kwa Mkopo Chelsea
JUHUDI za Christian Pulisic kuondoka Chelsea dirisha hili la usajili wa majira ya joto zimezuiwa na klabu hiyo. Winga huyo atasalia klabuni hapo na kupigania nafasi yake chini ya Thomas Tuchel.
Nafasi ya Pulisic ndani ya…
