Wanakijiji Waamua Kufuga Pweza – Video
WANAKIJIJI wa Songosongo, Kata ya Songosongo, Kilwa, mkoani Lindi, wameishukuru serikali kwa kuwaletea mpango wa uhifadhi wa mazingira na utunzaji wa bahari ujulikanao kama Mwamba Darasa uliofadhiliwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la…
