Giggy Money, Q Chillah wanaswa kimahaba!
Giggy Money akipozi kimahaba na Q Chillah.
KABAAANG!! Video Queen anayesumbua Bongo, Giggy Money hivi karibuni alinaswa na staa wa Bongo Fleva, Q Chillah wakiwa katika mapozi ya kimahaba ndani ya gari.
Chanzo kilicho karibu na Giggy…
