MSAFARA WA DIAMOND MTWARA ‘WAVAMIWA’ – VIDEO
Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz akiwa na timu yake nzima WCB akielekea katika Tamasha la Wasafi Festival mkoani Mtwara, ghafla amejikuta akivamiwa na kundi kubwa la mashabiki wake kila walipopita…
