Wafanyakazi wa Manji Bado Ngoma Nzito
RAIA wawili wa India ambao wanafanya kazi wa kampuni ya Quality Group iliyo chini ya Yusuf Manji leo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kujibu mashtaka matatu likiwemo la kufanya kazi nchini bila ya kuwa na kibali.…
