Wasakwa kwa Kuchana Quran
WATU kadhaa wanaotuhumiwa kuchana kitabu kitukufu cha Dini ya Kiislam, (Quran) hadharani katika maeneo ya Pandani-Mtemani Mkoa wa Kaskazini-Pemba wanasakwa ili sheria ifuate mkondo wake.
Akithibitisha habari hizo, Afisa mmoja wa…
