The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

r kelly

Aliyempiga R.Kelly Gerezani Afungwa Maisha

MFUNGWA ambaye alihusika na kumpiga gerezani msanii wa miondoko ya Rnb R. Kelly ,amehukumiwa   kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kushambulia mfungwa mwenzeke  gerezani. Muhuni huyo anaefahamika kwa…

Dhamana ya R Kelly Yanukia

MSANII mkongwe wa miondoko ya RnB kutoka pande za Marekani; Robert Sylvester Kelly ‘R Kelly’ anayekabiliwa na makosa zaidi ya 10 ya unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wadogo, huwenda akapewa dhamana baada ya kukaa nyuma ya nondo tangu…

R Kelly Akamatwa Na Polisi

MWANAMUZIKI wa R&B R.Kelly amekamatwa baada ya kujisalimisha polisi hapo jana usiku baada ya Mahakama ya Chicago kutoa amri ya kukamatwa kwake kufuatia ushahidi mpya kuhusiana na madai kwamba aliwanyanyasa kingono  watoto…