Mpambano wa Nichane Nikuchane, R.O.M.A Vs Darassa Gumzo ‘Vichwa Kuwaka Moto’, Dar Live
Zimesalia siku 15 tu kufikia Mkesha wa Mwaka Mpya ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar, wakali wawili ambao hawashikiki kunako Muziki wa Hip Hop Bongo, Shariff Thabeet ‘Darassa’ na Ibrahim…
