TCRA Wafanya Ukaguzi Wa Mwisho Na Kuiruhusu Radio 5 Kurudi Hewani Dec. 16
Mamlaka ya Mawasiliano Nchini Tanzania (TCRA), December 14 imefanya Ukaguzi wa mwisho, kujiridhisha na kuruhusu Kituo cha Utangazaji cha Radio5 Arusha kurudisha Matangazo yake hewani ifikapo December 16 mwaka huu 2016.
Akiongea na…
