Tume ya Haki za Binadamu: Waliobomolewa Buguruni Wameonewa, Lazima Walipwe
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, imesema kwamba ubomoaji wa nyumba katika eneo la mita 30 kutoka kwenye reli, haukuwa wa halali na kwamba, wote waliobomolewa, wanatakiwa kulipwa fidia.…
